
TIA yaandaa marathon ya kusaidia wanafunzi wenye uhitaji kusaidiwa
Na Chalila Kibuda , Michuzi TV TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA), imeandaa mbio ‘marathon’ kwa ajili ya kutunisha mfuko kwa ajili ya kusaidia wanafunzi wenye uhitaji. Mbio hizo zimebuni na Chuo baada ya kuona baadhi ya wanafunzi wanashindwa kuendelea na masoma ikiwemo ada pamoja na walio na mahitaji maalumu kama vile watu wenye ulemavu. Hayo…