
Gamondi: Yanga inapangika tu | Mwanaspoti
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya usajili wa mastaa waliosajiliwa katika timu hiyo, hana hofu ya kupanga kikosi. Gamondi amesema kikosi kitakuwa kinapangwa kulingana na aina ya wapinzani wanaokutana nao. Amesema mbali na wapinzani, pia itategemea na viwango vya wachezaji ili kutumika kwenye michezo husika. “Ugumu wa kupanga timu? Hapana. Hakuna ugumu, timu…