
MZUMBE YABUNI MBEGU YA MGOMBA KUPITIA NDIZI MBIVU
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KUFUATIA changamoto kwa wakulima wa zao la ndizi kuwa na uhaba wa mbegu bora za migomba ya ndizi, mwanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe amefanya utafiti na kubuni mbegu bora ya kisasa kwa kutumia ndizi mbivu Akizungumza leo Julai 10,2024 katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba yanayofanyika…