
TDI kupanda miti 1,500, kuchimba kisima shule ya Nyamilama
Na Mwandishi wetu, Mwanza KATIKA kuhakikisha wanakabiliana athari za mabadiliko ya tabianchi, Shirika la Together Development Initiative (TDI) lililopo Nyakato jijini Mwanza limeamua kupanda miti 1,500 ya matunda, kivuli, mbao na dawa katika shule ya msingi Nyamilama wilayani Magu na kuchimba kisima cha maji. Miti hiyo itapandwa katika shule hiyo iliyopo kijiji cha Lugeye kata…