RAIS SAMIA ATETA NA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA BILL  & MELINDA GATES IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Gates Foundation Bw. Mark Suzman yaliyofanyika kwa njia ya mtandao (Video Call) tarehe 10 Julai, 2024. Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na Taasisi hiyo na kujadili maeneo mengine ya ushirikiano ikiwemo…

Read More

Hakimu akwamisha kesi ya uvujishaji mitihani

Dar es Salaam. Kesi ya  kuvujisha Mtihani wa Taifa wa darasa la saba mwaka 2022 inayowakabili mshtakiwa, Patrick Chawawa na wenzake  imeshindwa kuendelea na usikilizwaji  baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Amir Msumi anayendesha shauri hilo kupata uhamisho kwenda Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Wakili wa Serikali, Judith Kihampa ameieleza Mahakama hiyo kuwa shauri hilo lilikuja kwa…

Read More

NYUMA YA PAZIA: Arteta anawamezea mate nyota hawa

LONDON, ENGLAND: Dirisha la usajili limeendelea kunoga Ulaya. Vita ya usajili ni kubwa na kila timu ina rada zake. Arsenal tayari imeshamsajili jumla kipa David Raya baada ya kuidakia kwa mkopo akitokea Brentford. Hata hivyo, kwa sasa Kocha Arteta bado anataka kushusha vyuma vingine ili kuifanya Arsenal kuwa tishio baada ya msimu uliopita kushindwa kubeba…

Read More

Wanne kikaangoni madai ya kubomoa makaburi Tabora

Tabora. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema vijana wanne wanashikiliwa na jeshi hilo wakituhumiwa kuvunja makaburi 19. Tukio la uvunjaji makaburi limetokea Julai 6, 2024 katika Mtaa wa Magubiko uliopo Kata ya Kiloleni, Manispaa ya Tabora. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Julai 10, 2024 Kamanda Abwao amesema baada ya msako wanawashikilia watuhumiwa…

Read More

‘Bado Afrika haijawa tayari kuwekeza kwenye mifumo’

Unguja. Wakati mabadiliko ya teknolojia yakiendelea kukua kwa kasi duniani kote, imeelezwa nchi za Afrika bado zinakumbwa na changamoto katika matumizi ya teknolojia hizo. Hayo yamebainika katika mkutano wa kupanga mikakati ya kwenda kidigitali kisiwani Zanzibar. Akizungumza katika mkutao huo uliofanyika hivi karibuni, Mkurugenzi Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu, Ushauri wa Kodi na Biashara (BDO)…

Read More

Watanzania Wahimizwa Kuchukua Hatua za Kuzuia Magonjwa ya Zuonotiki katika Siku ya Maadhimisho ya Magonjwa ya Zuonotiki Duniani

Serikali ya Tanzania, kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ikishirikiana na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) kupitia mradi wa Breakthrough ACTION, wameungana na mataifa mengine katika kuadhimisha Siku ya Magonjwa ya Zuonotiki Duniani, ikitumia fursa hii kuwahamasisha Watanzania kuhusu magonjwa ya zuonotiki, yaani magonjwa yanayoambukizwa kutoka kwa…

Read More

Serikali kushirikiana na Misri kibiashara

SERIKALI imesema kuwa itaendelea kushirikiana na nchi ya Misri katika masuala ya biashara ili kuhakikisha wafanyabiashara wanaendelea kupata fursa za kupeleka bidhaa mbalimbali nchini humo. Akizungumza jana katika Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Misri kwenye Maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa Sabasaba, Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TANTRADE)…

Read More

Mke asimulia mume alivyomuaga kabla ya kujinyonga

Buchosa. Maria Ikangila, mke wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Tawi la Majengo wilayani Sengerema amesimulia mume wake alivyojitoa uhai kwa kujinyonga kutokana na ugumu wa maisha uliosababisha ashindwe kupata matibabu. Hamis Budaga (60), mkazi wa Kijiji cha Majengo, Kata ya Nyakasungwa mkoani Mwanza anadaiwa kujinyoga kwa kutumia kamba ya nailoni kwenye mti wa mwembe ulioko…

Read More

Shule Sakilight kufundisha muziki na Sanaa

*Yasema Muziki na Michezo inalipa Shule ua Mchepuo wa Kiingereza ya Sakilight iliyopo Pugu Bombani Jijini Dar es Salaam imeipokea sera mpya ya elimu inayosisitiza watoto kujifunza kwa vitendo zaidi kwa kuanziashadarasa la somo la muziki na michezo mbalimbali. “Tumeipokea sera hiyo nzuri na tumewekeza kwenye elimu ya muziki na michezo kwa ujumlana tuna timu…

Read More