
BILIC: Mwamba wa Croatia mwenye vituko vyake
UNAZIFAHAMU nchi za Balkan? Hizi ni Serbia, Croatia, Macedonia, Slovania, Kosovo na Montntenegro na awali zilikuwa taifa moja la Yugoslavia mwaka 1943, kabla ya kusambaratika kwa taifa hilo na kuibuka nchi hizo mwaka 1991. Kisoka kwenye nchi hizi, ni Croatia ndiyo inayojulikana zaidi kati ya nchi hizo na imecheza fainali tano za Kombe la Dunia,…