
SPOTI DOKTA: Mvunjiko wa pua wa Mbappe uko hivi
KATIKA mchezo wa nusu fainali ya Euro 2024, juzi Jumanne nchini Ujerumani, miamba ya soka barani Ulaya Ufaransa ilitupwa nje ya mashindano ikiwa na staa wake mwenye mvunjiko wa pua, Kylian Mbappe. Yalikuwa ni matoke mabaya kwa timu hiyo ambayo ndio walikuwa wa kwanza kutikisa nyavu, lakini baadaye kibao kiligeuka wakajikuta wakichapwa mabao 2-1. Siku…