
Maandamano yaiweka Kenya hatarini kutokopesheka
HUENDA Kenya ikanyimwa mikopo baada ya kushushwa hadhi kwenye viwango vya Shirika la Kimataifa la kutathmini Madeni ya Mataifa na Utoaji Mikopo (Moody’s). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Ripoti ya Moody’s iliyotolewa jana Jumanne imeonyesha kuwa, kutotiwa saini kwa Muswada wa Fedha 2024/25 kumechangia Kenya kushuka viwango na kuwa kati ya nchi zinazoelekea kuelemewa…