Kenya yashuka zaidi katika nchi zisizoweza kukopesheka – DW – 10.07.2024

Deni kubwa la nchi hiyo linatarajiwa kuongezeka zaidi baada ya maandamano yaliyompelekea Rais Ruto kuufutilia mbali mswada huo. Haya yanafanyika wakati ambapo Kenya imeshushwa katika kiwango kimoja zaidi katika orodha ya mataifa yasiyoweza kukopesheka. Akiwa anakabiliwa na miito ya kujiuzulu, Rais William Ruto amesema kwamba serikali itageukia kuipunguza kwa nusu, nakisi ya bajeti ya dola…

Read More

Watu 18 wafariki dunia ajali ya basi, lori

India. Watu 18 wamepoteza maisha huku wengine 19 wakijeruhiwa nchini India baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuligonga lori la maziwa. Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Jumatano Julai 10, 2024 Kaskazini mwa Jimbo la Utter Pradesh nchini humo, polisi wamenukuliwa na Shirika la Habari la AFP. ”Basi hilo liligonga lori la mafuta kwa nyuma na…

Read More

Serikali yawatangazia kiama waganga wa jadi

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Deogratias Ndejembi amewataka wakuu wa mikoa kufanya operesheni na kuwakamata waganga wa jadi wanaofanya shughuli hizo bila vibali. Amesema lengo ni kukomesha vitendo vya ukatili dhidi ya watu wenye ualbino, vinavyotajwa kuchochewa na ramli chonganishi zinazopigwa na waganga hao….

Read More

TUNA UMEME WA KUTOSHA SASA NA MIAKA KADHAA MBELE-MHANDISI MRAMBA

Na Mwandishi Wetu.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amesema kuwa vyanzo vya umeme vilivyopo nchini vinazalisha umeme unaotosheleza mahitaji ya sasa na ya miaka kadhaa mbele. Mha. Mramba amesema hayo wakati alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (DITF) yanayoendelea jijini Dar es Salaam na kujionea shughuli zinazofanywa na Wataalam kutoka Wizara…

Read More

Waziri Mhagama akabidhi vifaa Tiba Kituo cha Afya Liganga

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu),  Jenista Mhagama, amesema Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imejipanga kuboresha huduma za afya ili kuokoa vifo vya akina mama na watoto wakati wa uzazi. Waziri Mhagama alitoa kauli hiyo, Julai 9, 2024, wakati wa ziara yake ya kutembelea…

Read More

Yamal hakuanza leo kuwadhuru Wafaransa

MUNICH, UJERUMANIKINDA wa miaka 16, Lamine Yamal, ameiongoza timu ya taifa ya Hispania kutinga fainali ya michuano ya Mataifa ya Ulaya akifunga bao lake la kwanza la michuano hiyo kwa staili ya aina yake wakati kikosi cha kocha Luis de la Fuente kikiibuka kutoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Ufaransa ya Kylian Mbappe mjini…

Read More