
Mfuko wa Wakfu wa Benjamin Mkapa watanuka
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Benjamin Mkapa (BMF), Dk Adeline Kimambo amesema Mfuko wa Wakfu (Endowment Fund) wa taasisi hiyo umetanuka kutoka Sh1 bilioni mwaka 2022 hadi kufikia Sh2.3 bilioni mwaka 2024. Dk Kimambo amesema hayo leo Jumatano, Julai 31, 2024 kwenye kilele cha maadhimisho ya tatu ya kumbukizi…