
Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa wafikia asilimia 63, Ulega atoa agizo
Kilwa. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Bandari ya Uvuvi inayojengwa wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi ni mradi wa kimkakati utakaoleta ajira kwa vijana sambamba na kuongeza pato kwa Taifa. Ulega mesema tayari ujenzi wake mpaka sasa umefikia asilimia 63. Akizungumza leo Jumanne Julai 30, 2024, alipotembelea mradi huo, Waziri Ulega amesema mpaka…