
Wauguzi wa Mkoa Shinyanga watakiwa kutumia nishati safi ya kupikia
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Santiel Erick Kirumba, amewaomba Wauguzi wa Mkoa Shinyanga kutumia nishati safi ya kupikia badala ya kuni ambazo huzalisha moshi wenye madhara kiafya na pia huaribu mazingira. Santiel ameyasema leo July 09, 2024 wakati akikabidhi mitungi 200 kwa Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Shinyanga, Hospitali ya Manispaa…