Sababu za kuanguka kwa vyama tawala chaguzi za 2024

Kubweteka kisera, mawazo na mfumo wa siasa ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuviweka baadhi ya vyama tawala vya siasa katika mstari mwembamba wa ushindi au kushindwa kabisa kwenye chaguzi zilizofanyika hivi karibuni. Kwa mujibu wa wanazuoni wa sayansi ya siasa na utawala, matokeo mabaya katika chaguzi za hivi karibuni dhidi ya vyama tawala yamechochewa na…

Read More

Kagame kuendelea leo Dar | Mwanaspoti

BAADA ya jana kupigwa michezo minne ya ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame, itaendelea leo na itakuwa ni zamu ya timu za kundi ‘B’, mechi zote zikipigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar es Salaam. Mchezo wa mapema utakuwa kati ya Al Hilal ya Sudan itakayocheza dhidi ya Djibouti Telecom ya Djibouti…

Read More

Simulizi waumini wanavyolizwa pesa kanisani-1

Dar es Salaam. Kama ilivyo katika mataifa mbalimbali Afrika, nchini Tanzania, aina mpya ya viongozi wa dini inajitokeza, ikitumia mtaji wa watu maskini kujikusanyia mali. ‘Manabii’ hawa wa kisasa wameigeuza imani kuwa biashara yenye faida kubwa, wakitumia udhaifu wa wafuasi wao kujipatia mamilioni ya fedha. Uchunguzi wa Mwananchi umebaini licha ya ‘manabii’ na ‘mitume’ hawa kuwa…

Read More

Aziz Ki atua Dar kutegua kitendawili

Dar es Salaam. Taarifa itakayowashusha presha mashabiki wa Yanga ni kwamba hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephanie Aziz KI, amewasili nchini huku akitolewa Uwanja wa Ndege kininja. Aziz KI, amewasili nchini alfajiri ya leo Julai 10, 2024 akitokea mapumziko nchini kwao kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia lakini akatoka kimkakati uwanja wa…

Read More

Prof. Mkenda Ajadili na KTI Namna ya Kuwezesha Ujuzi kwa Vijana ili Wajiajiri – MWANAHARAKATI MZALENDO

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Julai 09, 2024 amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya King’s Trust International (KTI) Kusini mwa Jangwa la Sahara Bw. Andre Harriman kujadili namna ya kuwezesha ujuzi kwa Vijana ili wajiajiri na kuajiriwa. Katika majadiliano hayo Prof. Mkenda amesema kutokana na maendeleo na mabadiliko ya teknolojia,…

Read More