Simulizi waumini wanavyolizwa pesa kanisani

Dar es Salaam. Kama ilivyo katika mataifa mbalimbali Afrika, nchini Tanzania, aina mpya ya viongozi wa dini inajitokeza, ikitumia mtaji wa watu maskini kujikusanyia mali. ‘Manabii’ hawa wa kisasa wameigeuza imani kuwa biashara yenye faida kubwa, wakitumia udhaifu wa wafuasi wao kujipatia mamilioni ya fedha. Uchunguzi wa Mwananchi umebaini licha ya ‘manabii’ na ‘mitume’ hawa kuwa…

Read More

Majeruhi yaongezeka nchini Ukraine huku mashambulizi ya Urusi yakiongezeka, Baraza la Usalama lasikia – Masuala ya Ulimwenguni

Hospitali mbili kuu za kibingwa za watoto na wanawake nchini ziliharibiwa kwa kiasi kikubwa pamoja na miundombinu muhimu ya nishati, ikiripotiwa kuua makumi ya raia, wakiwemo watoto, na zaidi ya 110 kujeruhiwa. Joyce Msuya, Kaimu Mratibu wa Misaada ya Dharura wa Umoja wa Mataifa, aliwaambia mabalozi katika mkutano huo Baraza la Usalama Jumanne, ofisi ya…

Read More

Waumini wanavyolizwa fedha kanisani | Mwananchi

Dar es Salaam. Kama ilivyo katika mataifa mbalimbali Afrika, nchini Tanzania, aina mpya ya viongozi wa dini inajitokeza, ikitumia mtaji wa watu maskini kujikusanyia mali. ‘Manabii’ hawa wa kisasa wameigeuza imani kuwa biashara yenye faida kubwa, wakitumia udhaifu wa wafuasi wao kujipatia mamilioni ya fedha. Uchunguzi wa Mwananchi umebaini licha ya ‘manabii’ na ‘mitume’ hawa kuwa…

Read More

Dili jipya la Lawi hadharani

Wakati Simba ikiondoka nchini juzi kwenda Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao bila Lameck Lawi, taarifa ikufike nyota huyo wa Coastal Union yupo zake bize akipambana kukamilisha safari yake ya kwenda Ubelgiji. Beki huyo juzi alionwa na Mwanaspoti akiingia na kutoka katika ubalozi wa Ubelgiji na alithibitisha kuwa ana mipango ya kwenda nchini…

Read More

Ishu ya Aziz KI, Yanga.. yamuibua Gamondi

MASHABIKI wa Yanga wamepata presha ya ghafla wakati wenzao wa Simba wanacheka, huku wakiomba dua mbaya kiungo Stephanie Aziz KI aondoke Jangwani, lakini kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameibuka akisema “nimkute Avic haraka”. Hilo limekuja baada ya Rais wa Yanga, injinia Hersi Said akiwa nchini Afrika Kusini kuviambia vyombo vya habari hatma ya Aziz…

Read More