
Viongozi wa mataifa ya NATO wakutana Washington, Marekani – DW – 10.07.2024
Rais wa Marekani Joe Biden amewakaribisha viongozi wakuu wa mataifa wanachama wa NATO mjini Washington kwenye mkutano huo wa kilele unaojikita katika kuipatia msaada zaidi Ukraine, lakini ambao pia unafuatiliwa kwa karibu na washirika wake nyumbani na nje, kwa uthibitisho kwamba rais huyo anaekabiliwa na shinikizo anaweza kuongoza bado. Biden atetea mafanikio ya sera ya…