
EWURA YAPONGEZWA KATIKA JITIHADA ZA KUDHIBITI HUDUMA ZA NISHATI NCHINI
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba amesema ubora wa umeme kwa siku za hivi karibuni zimeimarika hivyo changamoto ya kukatikakatika kwa sasa hakuna, wanaendelea kuboresha na niwajibu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kusimamia. Ameyasema hayo leo Julai 9, 2024 wakati alipotembelea…