
Waziri Mkuu awapigia chapuo marais usimamizi wa sera za fedha nchini
Morogoro. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewapongeza Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Dk Hussein Mwinyi kwa sera nzuri za fedha na uchumi ambazo zimekuwa msingi wa ukuaji wa sekta ya fedha hususan katika kuleta suluhisho la huduma za kifedha kwa wananchi nchni. Amesema kupitia sera hizo, tayari mabadiliko makubwa yameanza kuonekana mpaka kwenye ngazi za vitongoji na…