MIRATHI YA HANS POPE: Baba, mtoto yaamriwa wakamatwe

MAHAKAMA Kuu iliyopo katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Masuala ya Familia (IJC) Temeke, Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Z.H. Poppe Ltd, Caeser Hans Poppe na mwanaye Adam Caeser HansPoppe, kwa kuidharau. Mahakama hiyo imeelekeza Caeser na Adam ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo wakamatwe…

Read More

Germany yapata alama za juu ushirikishwaji wa wahamiaji – DW – 09.07.2024

Endapo ungewasikiliza wengi nchini Ujerumani, ungefikiri ushirikishwaji wa nchi hiyo wa wahamiaji na watafuta hifadhi unakwenda vibaya. Lakini utafiti mpya wa Shiŕika la Ushiŕikiano wa Kiuchumi na Maendeleo, OECD, lenye wanachama 38 unaonyesha kuwa sivyo. Licha ya changamoto kadhaa – kama vile elimu zaidi na mafunzo – Ujerumani inafanya kazi bora zaidi kuliko majirani zake…

Read More

Mbwa wenye kichaa watishia usalama wa wananchi Dar

Dar es Salaam. Halmashauri ya Ubungo imewataka watu wanaofuga mbwa kuwa na vibali  vitakavyowawezesha kutambulika na kuwa na usimamizi madhubuti wa mifugo hiyo. Mpango huo, unalenga kuwatambua wafugaji ili iwe rahisi kukabiliana na matukio ya wanyama hao kuwashambulia watu kama ambavyo inajitokeza katika baadhi ya mitaa ya Kata ya Makuburi iliyopo wilayani Ubungo. Katika kata…

Read More

NMB yateta na wafanyabiashara wanawake wanaoshiriki Sabasaba 2024

BENKI ya NMB imefanya mazungumzo na wanachama wa Chemba ya Wanawake Wafanya Biashara Tanzania (TWCC), wanaoshiriki Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara, kuwaonesha fursa na masuluhisho ya kifedha yanayoweza kuchangia ustawi na kukuza uchumi wao na Taifa kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). TWCC wanashiriki Maonesho hayo maarufu kama Sabasaba, jukwaa inayatumia kuuza…

Read More