
Naibu Waziri Mkuu akabidhi kompyuta mpakato za Aliance One kwa wakulima wa Tumbaku
Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko amebabidhi kompyuta tano zilizotolewa na kampuni ya Tumbaku ya Alliance One, kwenda kwa vyama vya msingi vya Wakukuna wa Tumbaku vilivyofanya vizuri kwenye msimu wa zao hilo mwaka huu. Zawadi hizo zenye thamani ya shilingi milioni 26 zimekabidhiwa kwa vyama vya msingi, baada ya kuibuka washindi kati ya vyama 115…