
WAZIRI KIJAJI ATEMBELEA KITUO CHA TAIFA CHA UFUATILIAJI WA KABONI.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Biashara ya Kaboni (NCMC) kilichapo Mkoani Morogoro leo Jumanne (Julai 9, 2024). Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi…