WAKAZI WA DODOMA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA SAFARI ZA TRENI YA KISASA (SGR),AGOSTI MOSI MWAKA HUU.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) kuelekea uzinduzi rasmi wa safari za  treni ya umeme,itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Agosti mosi mwaka huu katika Stesheni Kuu Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, akisisitiza jambo wakati akizungumza na…

Read More

Dkt Biteko awakemea Watumishi wanaokwamisha Wafanyabiashara

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka watumishi Serikalini kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na misingi ya utoaji wa huduma ili kuleta matokeo Chanya na sio kuwakwamisha watu wanohitaji huduma. Dkt. Biteko ametoa agizo hilo (Julai 30,2024) wakati akizindua Sera Taifa ya Biashara katika hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam…

Read More

Kigamboni Queens yakiona cha moto

TIMU ya Kigamboni Queens imekiona cha moto katika Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ni baada ya kufungwa na Vijana Queens kwa pointi 119-54. Mchezo huo ulioshuhudiwa na watazamaji wengi ulifanyika katika Uwanja wa Donbosco Osterbay. Timu ya Vijana Queens ilianza mchezo katika robo ya kwanza kwa kasi huku ikitumia mbinu…

Read More