INEC YASISITIZA USHIRIKIANO KWA WATENDAJI WA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegeke akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza leo Julai 9 na 10,2024 Mkoani Tabora. Mwenyekiti wa Tume Huru…

Read More

VODACOM YAKANUSHA VIKALI MADAI YA UTEKAJI WA KABENDERA – MWANAHARAKATI MZALENDO

 katika kusikilizwa kwa kesi ya mwandishi wa habari Eric Kabendera katika Mahakama Kuu ya Tanzania, ambapo amewasilisha kesi ya fidia ya dola milioni 10 dhidi ya Vodacom, kampuni hiyo imekanusha vikali madai hayo. Akizungumza na vyombo vya habari, Mtaalamu Mwandamizi wa Sheria kutoka Vodacom, Joseph Tungaraza alisema, “Tunakanusha vikali madai ya mlalamikaji. Tunatoa huduma zetu…

Read More

Mchungaji kortini akikabiliwa na mashtaka matano Dar

Dar es Salaam. Raia wa Congo ambaye ni mchungaji, Daniel Mgonja (23) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka matano likiwemo la kujishughulisha na shughuli za kichungaji bila ya kuwa na kibali. Wakili wa Serikali, Rafael Mpuya akisoma hati ya mashtaka leo Jumanne, Julai 9,2024 mbele ya Hakimu Mkazi…

Read More

Sababu kipigo Mchenga zatajwa | Mwanaspoti

Sababu mbili ndizo zilizofanya timu ya wanawake ya Mchenga Queens ipoteze mchezo wake kwa pointi 72-34 dhidi ya  DB Troncatti katika Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL). Mchezo huo wa mzunguko wa pili kwa timu hizo ulifanyika katika wa Donbosco, Osterbay. Sababu ya kwanza iliyoiua Mchenga Queens ilitokana na wachezaji kutokuwa…

Read More

Naibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anadai sera za ujasiri, ufumbuzi wa kibunifu kwa SDGs – Masuala ya Ulimwenguni

Akihutubia katika ufunguzi wa kongamano hilo 2024 Kongamano la Kisiasa la ngazi ya juu kuhusu Maendeleo Endelevu (HLPF), Amina Mohammed ilitaka hatua za kuleta mabadiliko na sera shupavu za kushughulikia changamoto za kimataifa kama vile umaskini, uhaba wa chakula na mabadiliko ya hali ya hewa. “Ingawa changamoto kubwa mbele yetu ni ya kutisha, kwa pamoja…

Read More

Kikwete aliiba kura 2010, nilimnyang’anya mic…

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amekumbushia machungu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 na kusisitiza kuwa anaamini alishinda uchaguzi huo katika nafasi ya rais lakini aliyekuwa mgombea wa CCM, Rais Jakaya Kikwete alimuibia kura. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Dk. Slaa ambaye pia aliwahi kuhudumu nafasi ya balozi wa Tanzania nchini Sweden…

Read More

Ant Man amzingua LeBron | Mwanaspoti

SUPASTAA wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), Anthony Edwards ‘Ant Man’ ametoa kali ya kushtua kuelekea michuano ya Olimpiki nchini Ufaransa mwishoni mwa mwezi huu, akidai ndiye nyota wa kutumainiwa kwa timu ya Taifa ya mchezo huo huko Marekani kwenye michuano hiyo. Ant Man alikuwa na msimu bora sana uliopita akiwa na Minnesota Timberwolves iliyoishia…

Read More