
CCM Iringa wampokea Msingwa rasmi
Iringa. Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa mjini kimempokea aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, aliyejiunga na chama hicho hivi karibuni huku wakiahidi kumpa ushirikiano. Chama hicho kimeahidi kumpa ushirikiano wa kutosha katika kutekeleza majukumu mbalimbali ndani ya chama hicho kama mwanachama mpya. Akizungumza…