Aliyekuwa RC Simiyu kizimbani kwa tuhuma za ulawiti

Dar es Salaam. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kulawiti. Dk Nawanda amepandishwa kizimbani leo Jumanne Julai 9, 2024, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza, Erick Marley na kusomewa shtaka hilo na waendesha mashtaka…

Read More

Yanga yashusha kitasa kipya, msaidizi wa Aucho

KLABU ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Aziz Andambwile kutoka Singida Fountain Gates kwa mkataba wa miaka miwili. Kiungo huyo amejiunga na Yanga kuongeza nguvu eneo la kiungo cha ukabaji ambapo anaungana na Khalid Aucho na Jonas Mkude. Usajili wa kiungo huyo unamaanisha kwamba anakwenda kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya ambaye hivi karibuni aliondoka…

Read More

Vodacom Supported Startups benefit from learning tour in China

Seven pioneering startups from the Tanzania Innovation ecosystem are innovating for social impact. Selected for Vodacom’s prestigious Digital Accelerator Program season 3, these visionary entrepreneurs recently returned from an enlightening trip to Shenzhen, China, a global tech hub. Among giants of innovation, they gained invaluable insights, fueling their mission to reshape Tanzania’s digital landscape. This…

Read More

Watanzania waaswa kuunga mkono juhudi za REA

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Watanzania wameaswa kuendelea kuunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuchangamkia fursa mbalimbali za nishati zinazotolewa, ikiwemo fursa ya mkopo nafuu wa uwezeshaji wa ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vijijini. Hayo yamebainishwa, Julai 8, 2024, na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati…

Read More

HISIA ZANGU: Simba mpya, sura mpya, bora hasara kuliko fedheha

NILIMTAZAMA tena na tena Babacar Sarr. Nikavua miwani halafu nikavaa tena. Nikamtazama tena na tena. Labda nilikuwa naona mpira katika macho tofauti. Ni mchezaji aliyekuwa ameletwa kufanya mabadiliko makubwa kikosini na kukomesha utawala wa Yanga? Sikuona kitu kama hicho. Alikuwa kiungo wa kawaida tu. Anayepokea mpira na kutoa pasi. Basi. Hakukuwa na maajabu mengine. Kwamba…

Read More