
TETESI ZA USAJILI BONGO: Duchu kuondoka Simba, tatu zatajwa
SIMBA huenda ikamtoa kwa mkopo beki wake wa kulia, David Kameta ‘Duchu’ baada ya kushindwa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo kwa msimu uliopita. Inaelezwa kwamba Simba na Duchu wapo kwenye mazungumzo na timu nyingine za Ligi Kuu Bara ili kumpeleka beki huyo ambaye awali alitua kikosini hapo Agosti 2020 akitokea Lipuli…