
CHAGUENI VIONGOZI WATAKAOSHIRIKIANA NA MHE. RAIS KUTATUA KERO – MHE. KATIMBA
Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Mhe. Zainab Katimba amewataka wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa ambao watamuunga mkono kwa vitendo Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutatua kero na changamoto zinazowakabili. Mhe. Katimba ametoa wito huo kwa watanzania wote, akiwa wilayani Uvinza, mara…