
KAKOLANYA: Chama? Subirini mtaiona Yanga
MASTAA kung’oka kutoka Simba kwenda Yanga imekuwa hali ya kawaida na inaendelea kufanyika mwaka hadi mwaka, na mojawapo ya sajili za aina hiyo zilizotingisha ilikuwa ni Haruna Niyonzima kusajiliwa na Simba akitokea Yanga. Usajili huo uliwachefua mashabiki wa Yanga hadi kufikia hatua ya kuchoma jezi ya staa huyo wa Rwanda, wakiamini kwamba hakuwatendea haki bila…