
SANLAM INVESTMENTS EA LIMITED YAZINDUA MIFUKO YA UWEKEZAJI, OFISI TANZANIA
* CMSA yawataka wadau kushirikiana na Serikali katika kuwawezesha wananchi kiuchumi MAMLAKA Ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA,) imewataka wadau wa masoko ya mitaji kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuwezesha wananchi kiuchumi na kutekeleza Mpango Kazi wa Serikali wa njia mbadala za kugharamia miradi ya maendeleo. Hii itawezesha Serikali na Sekta Binafsi kupata rasilimali…