
Majaliwa amkalia kooni DED mstaafu
Iringa. Huenda maisha ya ustaafu ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Lain Kamendu yakaanza kwa msukosuko, baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza arudishwe kujibu tuhuma za ubadhirifu. Kamendu aliyestaafu utumishi wa umma, Juni 22, mwaka huu, anatuhumiwa kufanya ubadhirifu wa fedha za ujenzi wa Bwalo la Shule ya Sekondari ya Wasichana…