
Takukuru kuchunguza upotevu vifaa vya ujenzi Hospitali Katoro
Geita. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Geita imeanza uchunguzi wa ujenzi wa awamu ya pili wa Hospitali ya Katoro baada ya kubaini vifaa vyenye thamani ya Sh1.7 bilioni havipo stoo licha ya kununuliwa na kupokewa. Akitoa taarifa ya utendaji kazi wa miezi mitatu wa taasisi hiyo, Naibu Mkuu wa Takukuru…