
MAKAMU WA RAIS AKIKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MALAGARASI – UVINZA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisilikiza maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Nchini Mhandisi Mohamed Besta kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara sehemu ya Malagarasi – Uvinza (Kilometa 51) wakati akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 08 Julai 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri…