
Wazalishaji wa sukari, Serikali wakubaliana mambo sita
Dar es Salaam. Wazalishaji wa sukari nchini (TSP) na Serikali wamekubaliana mambo sita kwa ajili ya kulinda sekta hiyo ikiwemo kupitia upya Sheria ya Sukari ya mwaka 2001. Pia, wametaka kuimarishwa kwa mawasiliano kati yao na Serikali, kulindwa kwa sukari inayozalishwa nchini dhidi ya ile inayotoka nje ya nchi, sukari ya nakisi kuingizwa kwa wakati,…