
TETESI ZA USAJILI BONGO: Gift kusajiliwa Coastal Union, Masumbuko kuibukia Geita
KATIKA kujenga kikosi bora cha ushindani, uongozi wa Coastal Union upo kwenye hatua za mwisho kunasa saini ya kiungo raia wa Uganda, Gift Abubakar Ali kutoka Proline FC. Kiungo huyo ambaye amewahi kucheza KCCA ya Uganda na Uganda Police, yupo kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba na Coastal. PAMBA Jiji ipo katika hatua za…