
BALOZI WA DENMARK AMALIZA MUDA WAKE AMUAGA DKT. NCHEMBA
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameishauri Denmark kuongeza masuala ya ushirikiano katika sekta za nishati, maendeleo ya sekta ya fedha na kukuza uwekezaji katika mpango wao mpya wa ushirikiano wa kimataifa unaoandaliwa na nchi hiyo. Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo wakati akimuaga Balozi wa Denmark…