
Benki ya NBC na Vodacom Tanzania Waungana kufanikisha NBC Dodoma Marathon 2024
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania ili kufanikisha maandalizi ya msimu wa tano wa mbio za NBC Dodoma Marathon. Mbio hizo zenye hadhi ya kimataifa zinatarajiwa kufanyika Julai 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.Lengo kuu la mbio hizo zinazotarajiwa kuhusisha washiriki…