Kampuni ya teknolonia kutoka nchini China Sixunited yazindua bidhaa yake mpya nchini

Tanzania imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji hivyo leo kampuni ya teknolonia kutoka nchini China Sixunited Techolojia Company inayojihusisha na uzalishaji vifaa vya teknolojia imeonesha nia ya kuwekeza na kuzindua biadhaa yake mpya kwa mara ya kwanza Hayo yamebainishwa leo Jijini Dar es salaam,2024 na Meneja wa Masoko Ukanda wa Afrika Mashariki Sixunited kampuni inayojihusisha…

Read More

RITA yazifilisi rasmi Sasatel, kampuni ya Hydrox

WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) imetangaza kuzifilisi Kampuni za DOVETEL (T)LIMITED maarufu kama Sasatel na Kampuni Hydrox Industrial Serivices Limited baada ya kujiridhisha kuwa kampuni hizo mbili zimeshindwa kujiendesha na kulipa madeni waliyonayo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam jana Jumapili kutoa…

Read More

TARURA YAKAMILISHA UJENZI WA DARAJA LA BEREGA

#Huduma za shule na hospitali zafikika kiurahisi Na. Erick Mwanakulya, Berega, Kilosa. Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imekamilisha ujenzi wa daraja la Berega lililopo katika barabara ya Berega – Dumbalume lenye urefu wa mita 140 na upana mita 11 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro. Kukamilika kwa daraja hilo limeweza…

Read More

Wafabiashara Simu 2000 wagoma, wamtimua DC, RC awapoza

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba wafanyabiashara wa eneo la Soko la Simu 2000 kufungua maduka na vibanda vyao vya biashara ili kuruhusu mazungumzo kati yake na wafanyabiashara hao aliyopanga yafanyike Jumamosi tarehe 13 Julai mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Chalamila ametoa kauli hiyo leo Jumatatu alipofika katika eneo…

Read More

Judi:Wasichana jifunzeni Unyoaji Nywele za Kiume

 Mwalimu wa Urembo Chuo VETA Shinyanga  Judi Mwita akionesha umahiri wa kunyoa kwenye Banda la VETA. *Kusema kazi za wanaume ni ndio kufanya kuwepo kwa mfumo dume. Na Mwandishi Wetu   MWALIMU wa Urembo wa Chuo cha VETA Shinyanga Judi Mwita  amesema kuwa wasichana wajifunze masuala ya Urembo ikiwemo unyoaji nywele za kiume kutokana na kuwepo…

Read More

Lawi aikana Simba “Mimi ni mchezaji wa Costal”

WAKATI Simba ikitarajiwa kupaa jioni ya leo kuelekea Misri kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa 2024-2025, beki Lameck Lawi yupo zake Dar es Salaam na kikosi cha Coastal Union akijifua tayari kwa michuano ya Kagame huku mwenyewe akisema yeye ni mchezaji wa Coastal Union. Lawi ambaye alikuwa wa kwanza kutambulishwa ndani…

Read More

Golikipa Khomeiny Aboubakar ajiunga na Yanga SC

Golikipa Khomeiny Aboubakar (25) amejiunga rasmi na Yanga SC akitokea Ihefu SC, sasa anakuja kuwania namba dhidi ya Djigui Diarra na Aboutwalib Mshery. Khomeiny ambaye amewahi kucheza timu za Tanzania za vijana za U-20 na U-23, anakuwa mchezaji wa nne kutambulishwa na Yanga katika kipindi hiki cha usajili baada ya Clatous Chama, Prince Dube na…

Read More