Jemedari CEO mpya JKT Tanzania

JKT Tanzania imemuajiri Jemadari Said Kazumari kuwa mtendaji mkuu na imeelezwa ndiye anayesimamia usajili unaofanywa kwa ajili ya msimu ujao, huku mojawapo wa usajili aliofanya ni kumshawishi John Bocco kujiunga na timu hiyo. Mwanaspoti imepata taarifa za ndani kwamba umebaki utambulisho wa Kazumari, lakini tayari ameishaanza kuyafanya baadhi ya majukumu yake kujua timu itaweka wapi…

Read More

JAFO:KAMILISHENI JENGO LA VIWANDA NA BIASHARA KWA WAKATI

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akikagua ujenzi wa jengo la Wizara hiyo katika Mji wa Serikali Mtumba jijini DodomaNa.Mwandishi Wetu_DODOMA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amekagua ujenzi wa jengo la Wizara hiyo katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma na kuwataka wakandarasi kuhakikisha unakamilika kwa wakati. Akizungumza Julai 8, 2024…

Read More

Wafanyabiashara Simu2000 wamfukuza DC Ubungo

Dar es Salaam. Katika mgomo wa wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga eneo la Soko la Simu2000, Ubungo jijini Dar es Salaam, wamedai wamekosa imani na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko katika kushughulikia changamoto zao. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kile walichoeleza kuwa licha ya kumlalamikia mara kadhaa kuhusu changamoto zao, ameishia kuwaahidi kwenda…

Read More

Udom wanadi shahada ya sanaa na ubunifu Sabasaba

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimewahamasisha vijana kusoma fani ya sanaa na ubunifu ambayo inafundishwa katika ngazi ya shahada chuoni hapo. Chuo hicho kinatumia Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) kunadi shughuli inazozifanya, masomo yanayofundishwa na kuonyesha kazi mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi hasa katika Idara ya Sanaa na…

Read More

Sababu wamachinga Simu2000 kumfukuza DC Ubungo

Dar es Salaam. Miongoni mwa wamachinga wakieleza sababu ya kumkataa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko na kufanya mgomo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila. Miongoni mwa sababu hizo ni kile walichodai hawana imani naye katika kushughulikia changamoto zao. Mzizi wa maandamano na mgomo wa wafanyabiashara katika soko hilo…

Read More

HAKIKISHENI MNAMALIZA MRADI KWA WAKATI ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA- CPA MAKALLA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha mapinduzi (CCM) komredi Amos Makalla, amewataka watumishi wanaopewa nafasi ya kusimamia miradi kuhakikisha wanamaliza kwa wakati uliyopangwa kwani wananchi wanasubiri huduma hizo. Amesema hayo leo akiwa kwenye Ukaguzi wa mradi wa Maji Bangulo Ilala Mradi Wenye thamani shilingi Bilioni 39 na ujazo wa Lita Milioni…

Read More

Watu 883 wachunguzwa moyo Sabasaba, 61 wapewa rufaa

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wananchi 883 kutoka maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam na mikoa jirani wamefanyiwa uchunguzi wa awali wa magonjwa ya moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba. Kati yao 196 wamefanyiwa kipimo kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (ECHO), 212…

Read More