
Benki uwekezaji Ulaya yaipa Trillioni 1 Tanzania ya wajasiriamali ,Zanzibar yabata Billioni 43
Hivi karibuni Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mhe Dkt Hussein Ali mwinyi amekutana na makamu wa Rais wa benki ya uwekezaji ya umoja wa Ulaya Thomas Ostros na ujumbe wake wenye lengo la kusaidia sekta ya uchumi wa buluu hususani visiwani Zanzibar Benki ya Uwekezaji ya Ulaya imetenga fedha za mikopo…