
OSHA, BRELA zatakiwa kusomana
WAKALA wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) umeelekezwa kuhakikisha mifumo yake inasomana na Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), ili kuleta tija zaidi katika utekelezaji wa majukumu. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Deogratius Ndejembi…