
Mahakama ya katiba yakosoa mageuzi ya uchaguzi Ujerumani – DW – 30.07.2024
Mageuzi hayo yaliyoratibiwa na muungano tawala wa Kansela Olaf Scholz yanalenga kuweka ukomo wa viti katika bunge la Ujerumani la Bundestag kufikia viti 630 kutoka idadi ya sasa ya viti 736. Bunge hilo la Ujerumani linazingatiwa kuwa ndio bunge kubwa zaidi duniani ambalo limechaguliwa kidemokrasia. Nchini ujerumani, kuna mfumo mgumu wa uchaguziunaozingatia zaidi kutowa nafasi…