
NMB YAFANYA MAKUBWA KATI YA TANZANIA NA COMORO – MWANAHARAKATI MZALENDO
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Comoro ikiwa ni dhamira ya benki hiyo kuongeza kiwango cha biashara kati ya nchi hizo mbili. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 49 ya Uhuru wa nchi ya Comoros iliyoandaliwa na Ubalozi wa Comoro nchini Tanzania kwa…