
Caravans T20… Lions, Gymkhana si mchezo HUKo
LIGI ya Kriketi ya mizunguko 20 ya Caravans T20 iliendelea kuwasha moto kwenye viwanja mbalimbali jijini huku timu za Park Mobile Lions na Generics Gymkhana zikipata matokeo mazuri katika michezo yao ya mwishoni mwa juma. Viwanja vya Leaders Club na Dar Gymkhana ndivyo vilikuwa mashuhuda wetu wa michezo hii ambapo ushindi wa mikimbio 81 vijana…