
Das Mvomero Saidi Nguya aongoza wafanyakazi kutalii Hifadhi ya Mikumi
Katibu tawala Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro Saidi Nguya amesema Uwepo wa huduma mbovu katika Baadhi ya ofisi za Serikali katika Halmashauri hiyo umetajwa kusababishwa na kukosekana kwa muda maalumu wa Kuwapa nafasi za kupumzika watumishi wa kada za Watunza kumbukumbu, waandishi waendesha ofisi(PS) pamoja na wahudumu Nguya ameyasema hayo wakati akizungunza na watumishi wa…