
Matumizi ya ‘drones’ kupima ardhi yawaibua wadau, watahadharisha
Dar es Salaam. Wananchi na wadau wametoa wito kwa Serikali ya Tanzania kusimamia kwa weledi kazi kwenye sekta ya ardhi ili kukabiliana na changamoto za kimazingira, ujenzi holela pamoja na migogoro ya ardhi. Maoni hayo yametolewa leo Jumapili, Julai 7, 2024 baada ya kutembelea kwenye maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam…