OASISI SWIMIMING CLUB VILLAGE YAZINDULIWA

Wadau wa michezo wametakiwa kuwekeza kwa wingi katika sekta ya hiyo ambayo kwa sasa imekuwa chanzo cha ajira, furaha na kwa vijana wengi wa kitanzania . Agizo hilo amelitoa leo Julai 6, 2024 Dar es salaam na Msajili wa vyama vya michezo kutoka katika baraza la michezo Tanzania Evord Kyando katika uzinduzi wa klabu ya…

Read More

MHANDISI MATIVILA AFURAHISHWA NA VIWANGO VYA UJENZI WA BARABARA ZA LAMI ZINAZOSIMAMIWA NA TARURA MKOANI DODOMA

Na. Catherine Sungura, Dodoma Naibu Katibu Mkuu , Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila amefurahishwa na viwango vya ujenzi wa miradi ya barabara za lami zinazosimamiwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoani Dodoma. Mhandisi Mativila ameyasema hayo mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya kukagua uimara wa…

Read More

WAFANYABIASHARA WA KIKOREA WAADHIMISHA SIKU YA BIASHARA YA KOREA WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA

Mkurugenzi wa Tantrade, Latifa Khamis akizungumza wakati wa Maadhimisho ya siku ya Biashara ya Korea katika Viwanja vya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maalufu kama Saba saba.yanayoendelea kufanyika jijini Dar es Salaam. Mtafiti Mwandamizi Na Mshauri wa Masuala ya Siasa na Uchumi kutoka Ubalozi wa Korea hapa nchini, Hyunseok Jeon akizungumza na Waandishi wa habari…

Read More

PBZ yakabidhi gawio la bilioni 7 kwa SMZ

BENKI ya Watu wa Zanzibar (PBZ) imekabidhi gawio la Sh bilioni saba  kwa mwanahisa wake wa pekee Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kufuatia faida iliyopata katika kipindi cha mwaka 2023. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inamiliki asilimia 100 ya hisa za benki hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Mkurugenzi Mwendeshaji wa PBZ, Arafat Haji alikabidhi gawio…

Read More

Kukosa kazi kulivyomkosesha mke James Lembeli Ujerumani

Akiwa mfanyakazi wa Redio Berlin Internation nchini Ujerumani, James Lembeli alikutana na binti wa Kijerumani, Birgit Lifka, wawili hawa wakaanzisha urafiki uliowapeleka kwenye uhusiano wa kimapenzi. Kwa Lembeli uhusiano huo haukuwa wa kupoteza muda, aliamini kuwa mwanamke huyo ndiye atakayekuja kuwa mke wake na mama wa watoto wake kwa kuwa alishamridhia kwa shida na raha….

Read More

Janga la maadili pasua kichwa kwenye jamii

Dar es Salaam. “Maisha ya zamani yalijawa hekima ambayo mtoto alikuwa si wa kwako peke yako, bali wa jamii nzima, alifundishwa maaadili ya namna ya kuishi na watu. “Akitokea mzee amebeba mzigo, mtoto anaenda anamsalimia kisha anamuomba kumpokea mzigo alioubeba na kuutanguliza kule anakoelekea mzee huyo. “Sasa hivi hayo yote yamepotea, hata wazee wenyewe hawaukubali…

Read More

APC Hotel kutoa fursa za ajira kwa vijana

WAKATI Maonyesho ya 48 ya Kimataifa ya Kibishashara yakiendelea kushika kasi katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Kituo cha Mikutano APC Hotel and Conference Centre kimepongezwa kwa kuendelea kutoa Elimu jinsi ambavyo kituo hicho kimeendelea kutoa huduma kwa Jamii pamoja na kuzalisha ajira mbalimbali kwa vijana Nchini. Hayo yamebainishwa leo Julai…

Read More