
WATUMISHI MVOMERO WAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KUHAMASISHA UTALII
Watumishi wa kada mbalimbali wa Wilaya ya Mvomero wakiongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. Saidi Nguya wameunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha na kutangaza vivutio vya utalii hapa nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Mikumi. Akizungumza na mwandishi wa habari…