
Dili la Madeleke, Pamba limetiki
KLABU ya Pamba Jiji imekamilisha uhamisho wa aliyekuwa beki wa kulia wa Mashujaa, Samson Madeleke kwa mkataba wa mwaka mmoja. Taarifa kutoka ndani ya kikosi hicho zimeliambia Mwanaspoti kuwa Madeleke amekamilisha uhamisho baada ya kutofikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya na Mashujaa kufuatia ule wa miezi sita aliousaini kuisha msimu uliopita. “Ni kweli nyota huyo…