Ujumbe wa Papa Francis kwa ulimwengu – Masuala ya Ulimwenguni

Juu ya Siku ya Kimataifa ya Urafikiinayoadhimishwa kila mwaka tarehe 30 Julai, tunatazama nyuma kwenye hotuba yenye nguvu ya papa katika Ukumbi wa Mkutano Mkuu alipopendekeza UN inaweza kuboreshwa na inaweza “kuwa ahadi ya mustakabali salama na wenye furaha kwa vizazi vijavyo”. “Kuweni karibu ninyi kwa ninyi, mheshimiane,” alisema. “Mfumo wa kisheria wa kimataifa wa…

Read More

Saliboko ashika nafasi ya 71 Olimpiki

TANZANIA imepata pigo lingine katika Michezo ya Olimpiki ya Paris inayofanyika Ufaransa baada ya muogeleaji Collins Saliboko kushindwa kufuzu hatua inayofuata kwenye mashindano ya mita 100 freestyle, baada ya leo Jumanne Julai 30, 2024 kukamata nafasi ya 71 kati ya waogeleaji 79 alioshindana nao. Kabla ya hapo, jana Jumatatu Julai 29, 2024, mchezaji wa judo…

Read More

Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia

Dar es Salaam. Theresia Mdee, mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu, Halima Mdee amefariki dunia asubuhi ya leo Jumanne, Julai 30, 2024 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma. Akizungumza na Mwananchi leo Julai 30, 2024, Halima amesema: “Mama yangu amefariki.” Theresia alikuwa amelazwa hospitalini hapo kwa matibabu. Endelea kufuatilia Mwananchi kwa habari zaidi.

Read More

Barbara achomoza kibabe Simba, Yanga

NAMBA hazijawahi kudanganya. Na waliobuni msemo huo wala hawakukosea. Hii ni baada ya Barbara Gonzalez aliyewahi kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, kuchomoa kibabe mbele ya watendaji wengine wa klabu hiyo na watani wao Yanga katika kipindi cha kushikilia nafasi hiyo Msimbazi. Ndio. Simba juzi kati imemtambulisha Mtendaji Mkuu (CEO) mpya, Uwayezu Francois Regis kuchukua…

Read More

Shambulio la Kisu Katika Tamasha la Watoto laacha Vifo na Majeruhi – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katika tukio la kutisha lililovuruga utulivu wa jiji la Southport, watoto wawili walipoteza maisha na wengine tisa kujeruhiwa vibaya, sita kati yao wakiwa katika hali mbaya baada ya shambulio la kisu katika warsha ya watoto iliyokuwa ikiendesha mafunzo ya densi. Katika harakati za kuwalinda watoto katika hafla hiyo iliyokuwa ikiitwa Taylor Swift, iliyofanyika kwenye Mtaa…

Read More