
BIMA YA AFYA KWA WOTE IPEWE KIPAUMBELE DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050- WAZIRI UMMY
Na Leandra Gabriel, Dar es Salaam SUALA La Bima ya Afya kwa wote limetakiwa kupewa kipaumbele zaidi katika maandalizi ya Dira ya Taifa 2050 ili kuboresha zaidi huduma za afya ili kila mtanzania awe na afya bora na kuweza kulitumikia Taifa. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika kongamano la kitaifa la wadau wa sekta…