
Anayedaiwa kukodi watu kuua mke asomewa maelezo
Dar es Salaam. Serikali imemsomea maelezo ya awali ya kesi aliyekuwa Ofisa Usalama wa Taifa, Zaburi Kitalamo (50) anayedaiwa kuwatuma washtakiwa wenzake wawili kumuua mkewe kwa kumchinja. Washtakiwa hao ni mfanyabiashara Roger Salumu (25) na mganga wa jadi Furaha Ngamba (47). Kitalamo au kwa jina lingine Peter Alex Kitalamo, mkazi wa Uzunguni wilayani Urambo mkoani…